HII NI BAADA YA WANACHUO WA CHUO KIKUU CHA UDOM KUSUBIRI FEDHA ZAO ZA KUJIKIMU KWA MUDA MREFU NA HATIMAYE FEDHA HIZO ZAWA TAYARI RASMI KWA SIKU YA LEO ALHAMISI YA MWEZI WA 6 TAREHE 9 MWAKA 2016.
NI BAADA YA WIZARA YA MIKOPO KUTIA NGUVU YA ZIADA KWENYE OFISI HUSIKA HUKO UTAWALA MKUU NA HATIMAYE MAMBO YA KAENDA SAWASAWA NA KUJIBU KIU YA WATU WENGI.
HII NI KAZI YA WAZIRI ABEID MUJIBU, AKIWE BEGA KWA BEGA NA NAIBU WAZIRI MANJORO NA MATIPA ISMAILI.
KARIBU MVUNGIPLUS KWA HABARI ZA NDANI NA NJE YA UDOM YETU
NA MVUNGI KOMBO.
Mzee Philemon Ndesamburo afariki dunia
-
Wednesday, May 31, 2017
Breaking News: Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo...
7 years ago
Okay mkuu
ReplyDeleteHv na NMB wanatoa leo au CRDB peke ake?
ReplyDeleteLisipotoka je
ReplyDelete