Ndugu mlimwengu na mkazi wa Dunia hii ya kileo, Nipende kuwajulia hali zenu kwa misingi sahihi ya dini zenu. msinihukumu sana kwa kutokuwa na dhehebu japo na amini katika mungu mmoja.
kwa siku hii ya leo tarehe 29 mwezi wa 6 mnamo mwaka 2016. siku ambayo haitokaa ijirudie tena, mimi Mhariri wako wa makala haya ya ITAMBUE UDOM NA MBWEMBWE ZAKE na penda kuanza na haya machache ya fuatayo kwa herufi kubwa kabisa ili nioneshe msisitizo wa kina na watija.
A: NAPENDA TUIJUE UDOM DUNIANI KOTE KULE TULIPO NA KONA ZOTE ZILE
TUFIKAPO.
B: NAJARIBU KUONYESHA UPEKEE WA UDOM NA SEHEMU NYINGINE ZOTE ZILE,
KAMA CHUO BORA.
C: NA MWISHO NA RINGA NA UDOM YANGU
NB: UDOM SIO CHUO CHA WATU WENYE UFAULU WA CHINI HATA KIDOGO.
KUMBUKA ZIPO DIVISION I NA II ZA KUTOSHA KULIKO HATA III.
SHTUKA SASA UIJUE UDOM YOTE NA VIUNGA VYAKE.
NDUGU MLIMWENGU MWENZANGU, KWANI LABDA UJIHISI INFERIOR KUDAHILIWA
UDOM?
NB: WATU WENGI WALIOPO CHUO KIKUU CHA UDSM, SUA MZUMBE WANAKIONEA
WIVU CHUO KIKUU CHA DODOMA KWA HUDUMA NA ELIMU HAI INAYOPATIKANA
HAPA;
SHTUKA KUANZIA LEO.
KAA UKIJUA UDOM NDIO BABA LAO AISEEEEEEE
UDOM, UDOM, UDOM UDOM UDOM UDOM UDOM UDOM UDOM UDOM
Mzee Philemon Ndesamburo afariki dunia
-
Wednesday, May 31, 2017
Breaking News: Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo...
7 years ago
0 comments:
Post a Comment