Wema Sepetu ameamua kurudisha kwa jamii.
Miss Tanzania huyo wa zamani na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi
mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule
mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu
mbalimbali.
Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini.
Mzee Philemon Ndesamburo afariki dunia
-
Wednesday, May 31, 2017
Breaking News: Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo...
7 years ago
0 comments:
Post a Comment