Shetta amekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kuwa Diamond amewahi kutoka kimapenzi na mama Qayllah.
Wiki kadhaa zilizopita Shetta alifuta picha zote kwenye akaunti yake ya
instagram huku akiwaacha mashabiki wake wakijiuliza maswali mengi
kutokana na kitendo hicho.
Akiongea kwenye kipindi cha Leo Tena, kinachoruka kupitia Clouds FM,
Shetta amesema, “kuhusu suala la mama Qayllah kutoka na Diamond hakuna
ukweli wowote.”
“Kuhusu suala la kufuta picha ni management yangu mpya ilinishauri hivyo
ndiyo maana unaona nilifuta picha zote hizo. Team team tu wameanzisha
na kuzisambaza mitandaoni lakini hakuna ukweli wowote namuamini sana mke
wangu. Mimi na Diamond tuko vizuri ila hizo,” aliongeza.
0 comments:
Post a Comment