Ngudu wana chuo wa chuo cha elimu Udom, poleni kwa majukumu ya siku, nipende kuwapongeza kwa ushirikiano mzuri mnaounesha katika harakati za kuijenga Udom salama na Udom nyepo.
Nipende kulizungumzia jambo moja la kuhakikisha level seat ndio tamaduni ya Udom, kwanza ni wapongeze kwa namana ya kipekee kabisa kwani wizara ya habari, usafirishaji na matangazo imekuwa mstari wa mbele ikishirikiana na wanaharakati na wakereketwa wengine wa level seat, na hatimaye Udom ni level seat na level seat ni sehemu ya Udom.
pia ni waombe muzidi kuelimishana na kusisitiza juu ya umuhimu wa kusafiri in term of level seat kwani
1. Inatuongezea heshima yetu kama wasomi tunao tambua ni kitu gani tuacho fanya
2. tuna jiepusha na hatari mbali mbali za kufikwa na ajali zinazo epukika
3. Tuna rahisiha usafiri na kuepusha upotevu wa muda mwingi kwenye stendi zetu tukiwa tunasubiria magari.
UDOM ONLY THE SKY IS THE LIMIT
BY MVUNGI K.A
Mzee Philemon Ndesamburo afariki dunia
-
Wednesday, May 31, 2017
Breaking News: Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo...
8 years ago
0 comments:
Post a Comment