KWA UJMLA, KWANZA NIANZE KWA KUWASALIMU KWA MUJIBU WA IMANI ZENU
IJAPOKUWA MIMI MWANDISHI WAKO SIFUNGAMANI NA ITIKADI YOYOTE.
SIKU HII YA LEO TAREHE 28 MWEZI WA 6 2016, NAPENDA KUSHARE BAADHI YA
MAMBO NYETI NANYI ILI MUYAJUE VIZURI KUHUSIANA NA CHUO KIKUU CHA
DODOMA NA MAMBO YA KIPEE YANAYO PATIKANA NDANI YA CHUO HIKI.
UDOM! UDOM! UDOM! STAND UP AGAIN
KWANZA KABISA
1. UDOM NDICHO CHUO PEKEE KIKUBWA AFRIKA MASHARIKI NA CHENYE MIUNDO
MBINU YA KUTOSHA NA YA KUPENDEZA KULIKO CHUO KINGINE CHOCHOTE KILE
AFRIKA MASHARIKI.
2. UDOM NDICHO CHUO PEKEE TANZANIA KINACHOTOA COURSE ZENYE UPEKEE
NDANI YAKE KUTOKANA NA KILE KINACHO ITWA UTAALAMU WA UANDAAJI WA
COURSE
NB: DEGREE NYINGI ZINAZOTOLEWA NA CHUO KIKUU CHA UDOM NI ZA KIPEE
SANA
JE, UDOM NI CHUO CHA KATA?
NDUGU WALIMWENGU WENZANGU IPO DHANA POTOVU KWA BAADHI YA WATU JUU
YA CHUO KIKUU CHA DODOMA KWAMBA NI CHUO CHA KATA NA CHUO KINACHO
CHUKUA WATU WASIO NA UWEZO.
UKWELI WOTE UPO HAPA AISEEE, HEBU JIONEEE MKUU WANGU
A: KATIKA VYUO VIKUU VINAVYO TOA WATAALAMU AU WASOMI WENYE MAADILI
NA WENYE KUKUBALIKA MAENEO YAO YA KAZI NI CHUO KIKUU CHA
DODOMA NA HII IMETHIBITIKA KWA RESEARCH ILIYOFANYIKA.
B: NI CHUO AMBACHO KINAONGOZA KWA UFUNDISHAJI ULIO TUKUKA.
C: NI CHUO AMBACHO WANAFUNZI WANAUWEZO WATUAJIRIKA NA HATA KUJIAJIRI
KUTOKANA NA UWEZO MKUBWA WA KUBADILISHA SEHEMU YA MASOMO YAO
KUWA UTENDAJI HALISIA (PRACTICABILITY)
NB:
a.WANAFUNZI WA UDOM WAMEWEZA KUANZISHA MFUMO WA ONLINE VOTING
b. WAPONJIANI KUANZISHA ONLINE REGISTRATION
c. WAMEANZISHA ONLINE ASSESSMENT MODEL
MLIMWENGU MWENZANGU HAPO SASA JIULIZE UDOM NI CHUO CHA NAMNA
GANI,
EWEEE BABA EWE MAMA MSHTUE MWANAO ASIKUBALI KUPITWA NA KISIMA CHA
MAARIFA CHANYA YAPATIKANAYO UDOM
SISI KWETU NI
CENTRE OF EXCELLENCE NA MWENDOMDUNDO WA ONLY SKY IS LIMIT
UDOM, UDOM UDOM UDOM UDOM UDOM UDOM UDOM
NA
MVUNGI K.A RAIS WA CHUO CHA ELIMU UDOM
0 comments:
Post a Comment