Saturday, 11 June 2016

MWALIMU MKUU AMTIA MIMBA MWANAFUNZI WA DARASA LA SITA



ALIYEKUWA  mwalimu mkuu wa shule ya msingi  Mwadui iliyopo kata ya Ngokolo manispaa ya Shinyanga  Jimrodi Tiwashobwa ametuhumiwa kumpatia mimba mwanafunzi wa darasa la sita (12) .

Hayo yalisemwa  jana na mama mzazi wa mtoto huyo Anna Masanja liyehudhuria mkutano wa wadau wa kupinga mimba za utotoni iliyoandaliwa shirika linalo pinga mimba na ndoa za utotoni ( Agape) lilipozindua rasmi kutekeleza mradi huo  kwa kata nne  za halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment


Total Pageviews

15617

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

CEO:KOMBO MVUNGI




HOTLINE:+255719050552 +255762198234


Email:mvungi134family@gmail.com

Dodoma,Tanzania

KARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO BEI NI NAFUU
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Blog Archive

My Blog List

Powered by Blogger.