Ndugu wa Tanzania, tunapenda kukipongeza chuo kikuu cha Dodoma kwa kuibuka mstari wa mbele katika zoezi la uchangiaji wa damu salama kitu ambacho kimeonjesha jinsi gani wanachuo wa chuo kikuu cha Dodoma walivyokuwa na moyo wa kujitolea katika maswala ya kusaidia jamii.
BY MVUNGI K.A
0 comments:
Post a Comment