Leo chuo kikuu cha Dodoma Udom kimepata fursa ya kipekee kabisa Ku host mkumtano Wa bunge la wabunge Wa jumuiya ya Africa Mashariki, wageni na Wa chokoza mada ni Makongoro Nyerere, Shy rose Bhanji, na Kimbisa
Wakiwa chini ya mwenyeji wao Prf Kabigumila.
Imeandikwa na Mvungi K.A
Mzee Philemon Ndesamburo afariki dunia
-
Wednesday, May 31, 2017
Breaking News: Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo...
7 years ago
0 comments:
Post a Comment