Monday, 20 June 2016

wabunge waupinzani waja na staili mpya ya kuziba midomo kwa plasta

  • Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni leo wametumia mtindo mpya kueleza hisia zao baada ya kuamua kutoka kwenye ukumbi wa Bunge wakiwa wamejifunika midomo kwa karatasi.

    Hii ni wiki ya pili mfululizo wabunge hao wamekuwa wakitoka bungeni baada ya kutangaza kutohudhuria kikao cha bunge kinachoongozwa na Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson.

    Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia amesema wameamua kutumia mtindo huo mpya kwa sababu Bunge limekataa kuwasikiliza hoja zao.


    Share:

    0 comments:

    Post a Comment


    Total Pageviews

    HABARI MPYA


    Recent Posts Widget

    CEO:KOMBO MVUNGI




    HOTLINE:+255719050552 +255762198234


    Email:mvungi134family@gmail.com

    Dodoma,Tanzania

    KARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO BEI NI NAFUU
    Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
    waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


    Blog Archive

    My Blog List

    Powered by Blogger.