Robert Mugabe
Watoto sita wamekufa maji bila kutarajiwa katika sherehe za
kubatizwa kwao katika mto nchini Zimbabwe.Watoto watatu walinusurika
kufa maji ya mto huo ambao maji yake niya baridi;watoto hao walionekana
wakitetemeka kutokana na baridi wakati miili ya wenzao waliokufa maji
ikiopolewa majini.
Polisi nchini Zimbabwe wamewatia mbaroni watu wawili ambao ni wafuasi wa dhehebu hilo la Kikristo.
Lakini pia walimjumuisha mama mmoja ambaye alidai kwamba yeye ni nabii
ambaye alisema kwamba alifanya jaribio la kufufua wafu wakati wa ibada
zake .
0 comments:
Post a Comment