Vyanzo vilivyo karibu na wawili hao, vimeuambia mtandao huo kuwa
yalizuka mabishano makali kati yao wakiwa kwenye gari Jumatano mchana
baada ya Cassie kumwambia Diddy kuwa anataka waachane. Wamesema kuwa
Diddy alikasirika kiasi cha kushika simu yake na kuanza kuangalia vitu
vilivyomo.
Vyanzo hivyo vimesema kuwa Diddy aliruka kutoka ndani ya gari huko Bev Hills akiwa na simu mkononi na Cassie kuondoka na dereva.
Hatimaye Diddy alirejea nyumbani na kuipeleka simu lakini baadaye akachukua magari mawili yaliyokuwa yameegeshwa nje.
Cassie alikuwa amemuambia mama yake kuhusu tukio la simu kabla Diddy
hajarejea nyumbani na kuirejesha na hivyo aliwaita polisi. Polisi
walifika nyumbani kwa Cassie na kuwaeleza kuwa ameipata simu yake na
wakaondoka japo waliandika ripoti ya tukio hilo. Hata hivyo hakuna kosa
lililofanyika.
Kuhusu kuachana, wawili hao wamewahi kuachana kabla
Share:
0 comments:
Post a Comment