SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA TFF LEO LIMETANGAZA WAZI ADHABU YA MAISHA KWA BAADHI YA WACHEZAJI NA MAREFARII KWA VILABU MBALI MBALI, HIVYO KUWAFANYA WATUHUMIWA HAO KUYASAHAU MAISHA YA SOKA NA KUTAFUTA KADA NYINGINE KABISA HATA IKIWEMO KILIMO CHA MKONO. TIMU ZA JKT OLJORO YA ARUSHA NA POLISI TABORA ZOTE ZA KIJESHI ZIMEKUMBWA NA JANGA HILI.
KLABU YA GEITA GOLD IMEKUTWA NA MAAFA YA KUFUNGIWA BADHI YA WACHEZAJI WAKE. TAMKO HILI LIMETOLEWA NA MAKAMU MWENYEKITI WA TFF BW. JEROME MSEMWA.
FIGISU FIGISU ZA KUPANGA MATOKEO NDIYO SABABU KUBWA ILIYOZIPELEKEA KLABU HIZI KUPATA JANGA HILI LA NAMNA YAKE, EBWANAEE KUMBE MAJIPU YA NA TUMBULIWA HADI KWENYE KANDANDA,
hapo kazi ipo na kitaeleweka tu
ReplyDeleteviva TFF vivaa
ReplyDelete