Sunday, 3 April 2016

Unyama wa billionae Donald Trumph jinsi ulivyotikisa jioneee live na MVUNGI PLUS PLUS

HUYU NDIYE BILLIONEA WA KIMAREKANI DONALD TRUMP AKA USA TYCOON, ANAWANIA RIDHAA YA KUSIMAMISHWA KAMA MGOMBEA URAISI USA, JAPO SIASA YAKE NI YA KIBABE NA YENYE UNYAMA MWINGI KIASI KWAMBA ANAONA KUNA HAJA YA WAAFRIKA KUTAWALIWA TENA NA NCHI ZILIZOENDELEA.

  KIUCHUMI YUPO VIZURI SANA NA ANAPENDWA NA VIJANA WENGI, ASHAWAHI KUFANYA KAZI YA UANDISHI NA BILIONEA MWENZAKE ROBERT T. KIYOSAKI ALMAARUFU BABA WA RDPD,

   VIPI UNAAFIKIANA NA HOJA ZAKE ZA KUITAWALA AFRIKA KWA MARA NYINGINE NA HOJA ZA KUPAMBANA NA ISLAMIC STATE KUANZIA NDANI YA USA?
Share:

1 comment:


Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

CEO:KOMBO MVUNGI




HOTLINE:+255719050552 +255762198234


Email:mvungi134family@gmail.com

Dodoma,Tanzania

KARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO BEI NI NAFUU
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Blog Archive

My Blog List

Powered by Blogger.