Wakati mtoto wa Aunt Ezekiel na Mose Iyobo akikaribia kutimiza mwaka
mmoja hivi karibuni, Mose amefunguka kuhusu kupata mtoto mwingine
wakiume na mrembo huyo kutoka kiwanda cha filamu.
Akizungumza na Bongo5, Mose amesema kwa sasa anafurahia maisha na mrembo huyo wa filamu na soon watapata mtoto mwingine wakiume.
“Sasa mimi na Mama Cookie tunamipango endelevu, kama hivyo ushamuona
Cookie bado kuna kaka yake Cookie anakuja na vitu vingine vitaendelea,
soon mtasikia tu,” alisema Mose.
Mose alisema anafuraha kuwa kwenye mahusiano na Aunt Ezekiel.
Mzee Philemon Ndesamburo afariki dunia
-
Wednesday, May 31, 2017
Breaking News: Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo...
7 years ago
0 comments:
Post a Comment