Saturday, 14 May 2016

GADNA HABASHI NA KESI YAKE

Mwanadada anaesikika na wimbo wake Wa ndindindi  Judith wambura almaarufu Lady jaydee, amtaka aliyekuwa mume wake Bwana Gadna na mtangazaji shujaa Wa clouds kuomba msamaha mbele ya umma,

Mnamo 6/2/2016 Gadna alimdhalilisha mwana dada jedy akiwa anatangaza kwnye mis TIA,
Nakauli ya kitata ya kwamba alishawahi kumkojoza Jede Kwa miaka 15 mfululizo kabla hawajaachana. Hivyo basi Mwana sheria wa msanii huyo amtaka Gadna aombe radhi ndani ya siku  7
Share:

0 comments:

Post a Comment


Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

CEO:KOMBO MVUNGI




HOTLINE:+255719050552 +255762198234


Email:mvungi134family@gmail.com

Dodoma,Tanzania

KARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO BEI NI NAFUU
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Blog Archive

My Blog List

Powered by Blogger.