Ni masaa machache tu tangu serikali ya raisi Robert Charese imalize muda wake wa kuwa tumikia wana Udom, ila kilichotokea ndani ya bunge tukufu la kitivo cha elimu ni kitu cha kustajabisha kwani baadhi ya waheshimiwa walidiriki kukunjiana ngumi na wengine kutoleana lugha chafu za kukejeliana.
Kuna jopo lingine lililoona ni bora kununua bunduki kutokana na udhaifu wao wa nguvu.
hizi hapa ni baadhi ya picha za wabunge waliodindishiana
Mzee Philemon Ndesamburo afariki dunia
-
Wednesday, May 31, 2017
Breaking News: Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo...
7 years ago
0 comments:
Post a Comment