Ni siku chache tangu kuwe na kundi la watu wanao ulani uongozi wa Mh Jakaya Kikwete kitu ambacho mke wa raisi mama Salima ameamua kuvunja ukimya na kujitokeza hadharani, kuusemea neno uongozi wa mume wake,
Haya yamejiri katika mkutano wa UWT uliofanyika huko mjini Dodoma katika ukumbi wa mikutano ya CCM pale Dodoma, pia amesema inawezekana baadhi ya miradi ya miradi ya UWT ikachukuliwa na serikali ya sasa kutokana na kukosa hati miliki za ukweli
Mzee Philemon Ndesamburo afariki dunia
-
Wednesday, May 31, 2017
Breaking News: Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo...
7 years ago
0 comments:
Post a Comment