Ni masaa machache tu tangu mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh Ally, aweze kuingia moja kwa moja hospitali ya mwana nyamala na kuushuhudia uozo uliomo hospitalini pale,
mkuu wa wilaya huyo kijana na mwenye nguvu za kutosha ameweza kuzama ndani ya hospitali hiyo ya mwananyamala katika sura ya kuwashangaza wengi, kwani aliingia kama raia wa kawaida tena akiwaamevalia mavazi ya kiswazi tu, suo mwendo wa suti na tai za kiitaliano.
Mzee Philemon Ndesamburo afariki dunia
-
Wednesday, May 31, 2017
Breaking News: Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo...
7 years ago
0 comments:
Post a Comment