Sunday, 8 May 2016

RAISI MAGUFULI AAPA KUFA NA MAFISADI

Ni siku ya Leo Dr John Pombe akiwa katika kanisa na kuhutubia baada ya kumalizika kwa misa ya Jumapili huko mjini Arusha ambapo ameapa kudili na watu wanaowaonea wanyonge,

Amesama dhamira yake ni kuhakikisha watu Wa chini wanaishi maisha mazuri na sio kupata shida kwa upuzi Wa watu wachache wanaojipenda na kujiona bora kuliko wengine
Share:

0 comments:

Post a Comment


Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

CEO:KOMBO MVUNGI




HOTLINE:+255719050552 +255762198234


Email:mvungi134family@gmail.com

Dodoma,Tanzania

KARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO BEI NI NAFUU
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Blog Archive

My Blog List

Powered by Blogger.