Waungwana wangu wa ukweli, napenda ku share nanyi hali halisi inayoendelea katika siasa ya chuo kikuu cha Dodoma kwa sasa, leo tarehe 7/5/2016 serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha Dodoma inavunjwa rasmi na bunge lake tukufu baada ya kumaliza muda wao wa uongozi kwa kipindi cha mwaka mmoja, serikali hiyo iliyokuwa ikiongozwa na raisi Charse Robert, bila kumsahau waziri machachari mr Peter almaarufu Black.
je, ni yapi maoni yako juu ya serikali hii? na unadhani imefanikiwa katika utendaji wake kwa asilimia ngapi, na kumbwanda mbwanda kwa asilimia ngapi?
Mzee Philemon Ndesamburo afariki dunia
-
Wednesday, May 31, 2017
Breaking News: Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo...
7 years ago
0 comments:
Post a Comment