Monday, 4 April 2016

never give up mwanangu

   HUYU NDIYE HENDRY FORD MTU WAKWANZA KUANZISHA KAMPUNI YA FORD DUNIANI, KAMPUNI YAKE ILIANZISHWA NA KUSHINDWA KWA MARA YA KWANZA WATU WENGI WAKAMCHEKA NA KUMUONA SI LOLOTE SI CHOCHOTE, GUY  HAKUKATA TAMAA ALIAMUA KUANZISHA KAMPUNI YAKE KWA MARA YA PILI THEN AKAFANIKIWA, WATU WOTE WAKAMUHESHIMU DUNIANI
 
    UKIONA GARI LOLOTE AINA YA FORD JUA NI MALI YA HUYU MZEE, KEEP ON TRYING MORE AND MORE WALA USIRUDISHWE NYUMA NA WASHKAJI KATIKA MIPANGO YAKO, SOMETIMES HAKUNA HAJA YA KUMUELEZA KILA MTU MIPANGO YAKO WEWE FANYA TU BILA KUOGOPA WALA KUSITA
Share:

0 comments:

Post a Comment


Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

CEO:KOMBO MVUNGI




HOTLINE:+255719050552 +255762198234


Email:mvungi134family@gmail.com

Dodoma,Tanzania

KARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO BEI NI NAFUU
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Blog Archive

My Blog List

Powered by Blogger.