Wednesday, 6 April 2016

RAISI ATOKA KIDOGO AUTI

RAISI WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LEO AMETOKA NA KUFANYA SAFARI YA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI BAINA YA TANZANIA NA RWANDA.HII NI SAFARI YAKE YA KWANZA TANGU AWE RAISI WA AWAMU YA TANO,
  AMEDAI YA KWAMBA AMEKUWA AKIPATA MIALIKO MINGI HADI YA KWENDA ULAYA LAKINI AMEONA BORA ANZE NA MAJIRANI ZETU WA RWANDA.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

CEO:KOMBO MVUNGI




HOTLINE:+255719050552 +255762198234


Email:mvungi134family@gmail.com

Dodoma,Tanzania

KARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO BEI NI NAFUU
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Blog Archive

My Blog List

Powered by Blogger.