Wednesday, 6 April 2016

Denti avunja ndoa ya watu


 Wapendwa wa mvugiplus.blogspot.com tumekuletea hii kali ya mwaka, ni baadaya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika chule fulani kumpagawisha mme wa mtu kwa utamu wa kident dent wenye vilio na madeko mengi, ambapo jibaba hilo lenye umri wa miaka zaidi ya ya 45 limeonekana na dalili zote za kuitelekeza familia yake yenye watoto 5 kisa ma lavidavi ya denti.
Mke abaki njia panda nakuona mpinzani wake mpya ana kasi ya ajabu katika kumpeti mume
Share:

1 comment:


Total Pageviews

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

CEO:KOMBO MVUNGI




HOTLINE:+255719050552 +255762198234


Email:mvungi134family@gmail.com

Dodoma,Tanzania

KARIBU UTANGAZE BIASHARA YAKO BEI NI NAFUU
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Blog Archive

My Blog List

Powered by Blogger.