Hatimaye baraza la mawaziri la serikali mpya ya chuo kikuu cha Dar es Salaam la tangazwa rasmi na raisi Leon Erasmi.
hii hapa ni list ya mawazri walioteuliwa na Mh Raisi Leon Erasmi
Waziri mkuu Bahemu Dadly
Waziri wa elimu Revocutus Mbalazi
Naibu Christopher Juliana
Waziri wa katiba na sheria Kavishe Jacklin
Waziri ya Mikopo Mathew Jackson
Waziri wa malazi Kunenga
Wizara ya habari Rashid Ally
Wizara ya afya na cafteria Kija Nsula
Wizara ya jinsia na makundi maalumu Urassa Emma
Wizara ya ulinzi na usalama Chande Jidawa
Wizara ya Michezo Hassani Ally
je, unaneno gani katika baraza hili jipya?
ytunahitaji comment zaka kwa kina
Mzee Philemon Ndesamburo afariki dunia
-
Wednesday, May 31, 2017
Breaking News: Mzee Philemon Ndesamburo(CHADEMA) afariki dunia
Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo...
7 years ago
0 comments:
Post a Comment